Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
bado najifunza😁ualimu mgumu sana aiseee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bado najifunza😁ualimu mgumu sana aiseee
[imeishaiyo]Habari za muda ndugu wa JamiiForums
Naenda moja kwa moja. Huwa natamani sana na mimi kufanya bolding ya maneno whatsap au humu ila huwa siwezi. Naomba mwenye uzoefu anielekeze. Alafu pia maneno ya rangi.
Asanteni, nawasilisha.
sawaNyota unaweka watsup ila jf unaanza na [ b ] usiruke nafasi kisha unaandika maneno utakayo