Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

CODE]
 
Kana kitu bado kinanishinda nikibold yanajibold maneno yote... Nielekezeni namna ya kubold neno moja tu sentensi...
Mfano baba analima shamba....
Hapo nataka kublod tu analima ila baba na shamba yasijiblod nafanyaje???
nisaidieni tafadhali
 
mimi naupenda mtandao wa jamiiforum hasa jukwaa la mapenzi,urafiki na mahusiano
 
Kana kitu bado kinanishinda nikibold yanajibold maneno yote... Nielekezeni namna ya kubold neno moja tu sentensi...
Mfano baba analima shamba....
Hapo nataka kublod tu analima ila baba na shamba yasijiblod nafanyaje???
nisaidieni tafadhali
Kama hivi

Baba analima shamba....
 
Back
Top Bottom