Msaada wandugu transfer za TCU

ranicta nicta

Member
Joined
May 24, 2013
Posts
60
Reaction score
20
Wandugu naombeni msaada mwenye kujua majina ya tuliomba kuhama chuo yanatoka lini niliomba kuhamia Udom kutokana na kuchelewa kutoka haya majina nakosa amani kwani chuo nilichopangiwa awali kilishafungua tangu tarehe 7 naombeni ushauri wenu wadau
 
nimesikia kuwa kesho yanatoka so nikuomba mungu tuuh ahsante kwa walioenda tcu na kutufahamisha hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…