ranicta nicta
Member
- May 24, 2013
- 60
- 20
Wandugu naombeni msaada mwenye kujua majina ya tuliomba kuhama chuo yanatoka lini niliomba kuhamia Udom kutokana na kuchelewa kutoka haya majina nakosa amani kwani chuo nilichopangiwa awali kilishafungua tangu tarehe 7 naombeni ushauri wenu wadau