Msaada Wapendwa

Msaada Wapendwa

Karucee

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
18,155
Reaction score
34,303
Habari za leo. Naomba msaada wa namna ya kum introduce mtoto kwa chakula. I mean mtoto wangu amekuwa aki breastfeed exclusively for 5 months and I would like to introduce him to other foods. Kindly assist me.any side notes will be highly appreciated. Thanks in Advance.
 
Yaani hii bora niimuvuzishe emuemuyuu.
 
Yaani hii bora niimuvuzishe emuemuyuu.

Mwanzishie uji wa lishe uandae mwenyewe.nunua ulezi,ngano ambayo haijakobolewa,ufuta,uwele na soya kuwa mwangalifu katika kuandaa soya,ichemshe halafu uloweke hakikisha umetoa maganda yote unaweza loweka kwa siku 1 baada ya kuchemsha.halafu mtoto wako si ni mnene sana ulezi weka kl 2 hivyo vingine weka ratio ya robo kilo ,chakula kingine ni viazi vitamu hasa vile vya njano unavipika kama mtori unaweka maziwa Karucee come back mumie
 
Last edited by a moderator:
Am right here my friend. Niweke maziwa gani? My son is 5 months old. He is 7.8 kgs, ila he is very tall. I truly appreciate your contribution.
 
Nauza madhiwa yangu original lol (im freshian breed)
Am right here my friend. Niweke maziwa gani? My son is 5 months old. He is 7.8 kgs, ila he is very tall. I truly appreciate your contribution.
 
Back
Top Bottom