Ngatelefijo
Member
- Jan 7, 2014
- 20
- 3
Naombeni ushauri jamani nipo kwenye ndoa nina mwaka sasa natafuta mtoto na mke wangu imekuwa ngumu,nimepimwa sperms zipo poa na yeye kapigwa ultrasound yupo poa, mpaka najiuliza labda tunakosea kujua siku za hatari zakushika mimba,naombeni ushauri na kujuzwa siku za hatari.