Msaada: Wapi au Nani naweza kumwona kusajili kampuni kwa gharama nafuu?

The Giant

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
504
Reaction score
96
Wakuu Salama,
Nahitaji kusajili kampuni ambapo ntaanza na mimi kutafuta tenda au kazi ndogondogo(digital marketing) kutoka kwa makampuni madogo madogo au watu binafsi.
Nakwepa kutumia makampuni yanayofanya usajili wa kampuni kwa sababu ya gharama kuwa kubwa. Kma naweza mwanasheria binafsi itakuwa ni vema.
Na hivi, yule jamaa anaitwa single wa kusajili makampuni bado yupo?
 
Kila la kheri Mkuu, wataalam watakuja kusaidia
 
Wakuu Salama,
Nahitaji kusajili kampuni ambapo ntaanza na mimi kutafuta tenda au kazi ndogondogo(digital marketing) kutoka kwa makampuni madogo madogo au watu binafsi.
Nakwepa kutumia makampuni yanayofanya usajili wa kampuni kwa sababu ya gharama kuwa kubwa. Kma naweza mwanasheria binafsi itakuwa ni vema.
Na hivi, yule jamaa anaitwa single wa kusajili makampuni bado yupo?
Kwa utaratibu wa sasa hivi ndugu wala huwahitaji sana hao watu, ngoma online ila changamoto kitambulisho cha uraia, directors wote lazima muwe navyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom