Msaada: Wapi Jijini Dar es Salaam wanatoa huduma ya kupima soil pH?

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naingia rasmi kwenye kilimo na nahitaji kulima kisasa sababu nyenzo ninazo.

Nahitaji huduma ya kupima soil pH kwa ajili ya kujua aina ya mazao ninayoweza kulima, aina ya mbolea ninayopaswa kutumia n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…