Msaada: Wapi napata mkopo kwa dhamana ya kiwanja?

Msaada: Wapi napata mkopo kwa dhamana ya kiwanja?

kitumbotala

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
516
Reaction score
623
Habari zenu ndugu zangu.
Nahitaji mkopo wa kufanya project ya kilimo, lkn dhaman ni kiwanja chenye ukubwa wa 18*19 kipo Mbezi Dsm, nahitaji sana mkopo huo ili niweze kujikwamua, kimaisha maana hali sio shwari.
Karibuni.
 
Back
Top Bottom