Msaada: Wapi naweza kupata Maziwa ya watoto wadogo ambayo ni Protein Free (hypoallergenic infant formula milk)

Msaada: Wapi naweza kupata Maziwa ya watoto wadogo ambayo ni Protein Free (hypoallergenic infant formula milk)

ZVI ZAMIR

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2015
Posts
921
Reaction score
2,163
Habari ya kazi Wakuu.

Ndani ya mkoa wa Dar es salaam, maziwa hayo yasiwe ya Soya au Almond. Kwa kampuni yoyote ile inayozalisha maziwa ya watoto.
 
Back
Top Bottom