AFRICAN POWER
Senior Member
- Jun 17, 2022
- 151
- 234
- Thread starter
- #21
Ndio haswaaa mkuu ninayo maanisha 🙏🙏View attachment 2296562Nadhani ndio hii mtoa mada anamaanisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio haswaaa mkuu ninayo maanisha 🙏🙏View attachment 2296562Nadhani ndio hii mtoa mada anamaanisha.
Nashauri utoe TU mwongozo wa kupata mbegu. Kwamba ni kiasi Gani kinatakiwa internet itasaidia.Je unakifahamu vizuri kilimo Cha safflower au katamu? Je unahitaji gunia ngapi za mbegu?
mkuu mbegu ulipata, unahitaji kiasi gani bossNdio haswaaa mkuu ninayo maanisha 🙏🙏
Vip ulishapata ile mbegu ya sefflower? Me ninayo ukihitajiNdio haswaaa mkuu ninayo maanisha 🙏🙏
Hapana SAFFLOWER na SUNFLOWER ni mimea tofauti japo yote huzalisha mafutaYaani alizeti?
Mkuu habari yako nami ni mhitaji wa mbegu hizo za safflower msaada elekezi tafadhaliSawa
Ukipata Nafasi Huko Nilikokutajia Utapata
Ipo Siyo Ya Kubabaisha
Hiyo SAFFLOWER kwa kiswahili ndo inaitwa katamuKatamu ni nini tena!
Upo Mkoa Gani MkuuMkuu habari yako nami ni mhitaji wa mbegu hizo za safflower msaada elekezi tafadhali