Msaada: Wapi naweza kupata mkopo?

Msaada: Wapi naweza kupata mkopo?

Kwa anayetaka kujiangamiza yeye mwenyewe na familia yake 'kwa makusudi' na aende Bayport.
 
Hakuna binadamu anayependa kudhalilishwa shida ni haya mabenki yetu kuwa na urasimu na mlolongo mrefu wa namna ya kupata mkopo, nadhani imefikia muda wao waende kutafuta wateja huko mashamban na makazin na kupunguza urasimu wao, hapo wengi tutakuwa pamoja Lakin kama bado wanaendesha biashara kiuzamani bas bado watu tutaendlea kwenda kwenye vitaasisi vyenye kukopesha kwa urahisi ili kuweza kutatua shida zinazotukabili kwa muda husika japo makato yake ni machungu
 
Back
Top Bottom