Msaada: Wapi naweza kupata Protein Powder au Whey Protein kwa Makambako?

frenderPH

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2019
Posts
621
Reaction score
817
Habari zenu wana jamvi wa urembo na mitindo na kadharika. Poleni kwa majukumu ya hapa na pale.

Ningependa kuwauliza kwa wenyeji wa Makambako huku Njombe, Protein Powder au Whey Protein ntaipata wapi? Maana nimeshatafuta sana lakini sijafanikiwa.

Kwa yeyote anaeishi au anayejua inapopatikana popote kwa huku Makambako naomba anijulishe tafadhali.
 
Achana nazo hizo,Mimi ziliniltea kidney stone
 
Back
Top Bottom