frenderPH
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 621
- 817
Habari zenu wana jamvi wa urembo na mitindo na kadharika. Poleni kwa majukumu ya hapa na pale.
Ningependa kuwauliza kwa wenyeji wa Makambako huku Njombe, Protein Powder au Whey Protein ntaipata wapi? Maana nimeshatafuta sana lakini sijafanikiwa.
Kwa yeyote anaeishi au anayejua inapopatikana popote kwa huku Makambako naomba anijulishe tafadhali.