Msaada, wapi naweza kupata soko la ndege Chiriku (Canaries)?

MWENDAKULIMA

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2009
Posts
951
Reaction score
355
Habarini wakuu.

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka. Nahitaji kujua kama kuna sehemu hapa Dar es salaam wananunua ndege (birds) hasa chiriku (canaries) na kama ipo bei yake ikoje? Niliwahi kusikia juu juu zamani kidogo kuhusu hii biashara.

Natanguliza shukrani
 
Ndugu biashara cku hizi upambane kweli, ila kwa hao ndege jaribu mitaa ya wadosi kule oystebay, masaki, mikocheni n.k hutakosa wa kununua wanapenda kuwafuga kama urembo. Kwa kuanzia wr tengeneza cage ndogo uwaweke ndege wako then katege kwenye junction za hiyo mitaa.
N.B hakikisha uwe na kibali cha kuwauza hao ndege sababu maliasili wakikushika huna permit ni msala mwingine
 
nenda pale jengo baada ya hyderi plaza, jengo la ford wamo pia majembe yono auction opp yake kuna azam. pale ulizia hao jamaa wapo ila sina contact zao
 
nenda pale jengo baada ya hyderi plaza, jengo la ford wamo pia majembe yono auction opp yake kuna azam. pale ulizia hao jamaa wapo ila sina contact zao

Shukran mkuu dostum,nitawatafuta.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…