Msaada: Wapi naweza kupata Sports Academy kwaajili ya watoto maeneo ya Ubungo, Dar?

Ndikusyaganya

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
216
Reaction score
119
Habari waungwana, naomba kujua kama kuna kituo kizuri na chenye kujali maadili cha mafunzo ya michezo hasa mpira wa miguu kilichopo ndani ya Wilaya ya Ubungo - Dar es Salaam.

Natanguliza shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…