barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
- Thread starter
-
- #21
Fundi yuko vizuri, hapo hata uambiwe bei kali inabidi ujitutumue tu maana hamna namna tena.hiyo suti saizi yangu kabisa jamaa aniuzie tu.
Barber shop zina mitego sana, huwa tunaenda wenyewe bila shuruti sababu ya hii mizigo, alafu
Kabla ya kuivaa hiyo suti pitia barber shop kwetu nikunyoe!
Uswazi inaitwa sepa na kijiji.Hiyo ngoma wanyakyusa wanasema "iseke ipwisa"
Hatari mzee baba, hapo hata kama wewe shabiki wa arsenal lazima usahau habari za wenger out
Kabla ya kuivaa hiyo suti pitia barber shop kwetu nikunyoe!
Mkuu nakusalimu tumkuu ulitaka kutuonesha tu huo msambwanda
Hatari mzee baba, hapo hata kama wewe shabiki wa arsenal lazima usahau habari za wenger out
Kuchora super black kiparani![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bila kusahau kwenda kunyoa hata ukiwa na upaa
Huyo jamaa humuoni? Katupia suti moja matata sana.Hapo suti ipo wapi!!!! Mbona naona mauza uza2