Msaada: wapi naweza pata fundi mwenye kushona suti kama hii??

Msaada: wapi naweza pata fundi mwenye kushona suti kama hii??

a3eeff0e1d41fd34867bfe664fd162c3.jpg


Kabla ya kuivaa hiyo suti pitia barber shop kwetu nikunyoe!
 
a3eeff0e1d41fd34867bfe664fd162c3.jpg


Kabla ya kuivaa hiyo suti pitia barber shop kwetu nikunyoe!
Barber shop zina mitego sana, huwa tunaenda wenyewe bila shuruti sababu ya hii mizigo, alafu
Nimemzoom kwenye kioo hapo, ana shepu ila sira hana!
Ni big ass woman ila sio a woman with a big ass.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bila kusahau kwenda kunyoa hata ukiwa na upaa
Hatari mzee baba, hapo hata kama wewe shabiki wa arsenal lazima usahau habari za wenger out
 
Ilibakia kidogo tu niandike namba ya simu nikajua dili kumbe suti zenyewe ndio hizo du! Siwezi onana na wachina
 
hizo suti anashona shehe kipozeo..mtafute akupatie

mashallah mwanamke mwenzangu.nami sijui naweza kuwa hivo.?
 
Back
Top Bottom