claudematemu
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 279
- 437
Thanks sana mkuu domain name muhimuKuna VPS nyingi sana huko duniani, mfano Amazon, Google na Contabo.
Mimi binafsi natumia Contabo na nimeka OS ya Ubuntu 22.
Kwa nini nilichagua Contabo
- Price ndogo kwa huduma bora, kwa Tsh 15,000 per month unamili server yako pamoja na public IP.
Vifurushi vyake nimeweka hapo kwenye picha chini.
All the best mkuu unapokwenda kumiliki server yako, cha kuongeza tafuta na domain name yako kabisa.
WelcomeThanks sana mkuu domain name muhimu
Hiyo haiwezi kuwa VPS, labda kama ni Bei ya IP pekeyake mkuu, kama unachukua VPS yenye customer unlimited upande wa plesk haiwezi kuwa na gharama hiyoKuna VPS nyingi sana huko duniani, mfano Amazon, Google na Contabo.
Mimi binafsi natumia Contabo na nimeka OS ya Ubuntu 22.
Kwa nini nilichagua Contabo
- Price ndogo kwa huduma bora, kwa Tsh 15,000 per month unamili server yako pamoja na public IP.
Vifurushi vyake nimeweka hapo kwenye picha chini.
All the best mkuu unapokwenda kumiliki server yako, cha kuongeza tafuta na domain name yako kabisa.
We jamaa sio VPS na huku ndio natumia, hao wana VPS pamoja na VDS ni wewe na pesa yako. Ukiongeza specifications gharama inaongezeka maana hiyo ni basic.Hiyo haiwezi kuwa VPS, labda kama ni Bei ya IP pekeyake mkuu, kama unachukua VPS yenye customer unlimited upande wa plesk haiwezi kuwa na gharama hiyo