Msaada wapi naweza pata mbegu nzuri ya vifaranga vya kuku

Msaada wapi naweza pata mbegu nzuri ya vifaranga vya kuku

Hebu tuweke rekodi sawa. Kifaranga wa siku moja ni sh. 1500/= na hao wa mwezi ni sh. 3000/=?! Sawa au sivyo. Sasa kutoka Arusha kuja DAR inakuwaje? Funguka bro kitomari2.

kwa ushauri wangu chukua kuku wa sku1 ndio wazuri kwa kuwasafirisha
 
name ningependa kujua habari hizo za light Sussex, ngoja labda ni google kidogo naona bwana lkitomari anatoa kwa mapozi kweli dondoo, mwagika mwana tufaidi.
 
Light sussex nikuku ambao wanataga mayai mengi huvumilia sana magonjwa wananyama nyingi pia hutaga mayai mengi sana karibu!
 
name ningependa kujua habari hizo za light Sussex, ngoja labda ni google kidogo naona bwana lkitomari anatoa kwa mapozi kweli dondoo, mwagika mwana tufaidi.

aisee hawa kuku ni wazuri sana wanavumilia sana magonjwa na wananyama nyingi
 
Kitomari, mimi niko arisha na nina interest na vifaranga unaweza kutupa contacts na physical location nikipita muda nikutafute?

nipo tengeru arushza number yangu hii hapa 0757662401 karibu
 
name ningependa kujua habari hizo za light Sussex, ngoja labda ni google kidogo naona bwana lkitomari anatoa kwa mapozi kweli dondoo, mwagika mwana tufaidi.

ligth sussex ni kuku bora sana nakumbuka hawa kuku tokea nikiwa mtoto walinilipia ada ya shule
 
nakushauri chukua wa sku 1 ili kuzoea mazingira hata kuwasafirisha hawana tatzo

hao wasiku moja si wachanga sana,hawafi kwenye usafirishaji?sorry nataka kujua maana kwenye issue hii niko mweupe sana.
 
hao wasiku moja si wachanga sana,hawafi kwenye usafirishaji?sorry nataka kujua maana kwenye issue hii niko mweupe sana.

ndugu kuku wa sku 1 niwazuri maana watazoea mazingira ya sehemu moja pia hata kwa usafirishaji ni wazuri sana
 
Vipi mkuu ..kuhusu hao kuku unaweza kuwafuga sehemu yoyote ile..tanzania? na wanastahamili hali ya hewa ya popote pale mimi nipo znz nataka kufuga hao kuku ..ushari mkuu.
 
Vipi mkuu ..kuhusu hao kuku unaweza kuwafuga sehemu yoyote ile..tanzania? na wanastahamili hali ya hewa ya popote pale mimi nipo znz nataka kufuga hao kuku ..ushari mkuu.

ndipo wanastahimili sana hali ya hewa popote
 
Kitomari naweza pata mayai yake ili nije niyatotoleshe huku. Mi npo mombo Tanga naona kusafirisha kuku ni kazi kidogo
 
Back
Top Bottom