Hebu tuweke rekodi sawa. Kifaranga wa siku moja ni sh. 1500/= na hao wa mwezi ni sh. 3000/=?! Sawa au sivyo. Sasa kutoka Arusha kuja DAR inakuwaje? Funguka bro kitomari2.
Naare iwe kitomari2, unapatikana wapi kaka?
kwa ushauri wangu chukua kuku wa sku1 ndio wazuri kwa kuwasafirisha
Ningepata wa mwenz ingekuwa vema zaidi vp waweza nielekeza wapi mkuu na bei zao?
Uzi muhimu huu kuaga umasikini
Uzi muhimu huu kuaga umasikini
name ningependa kujua habari hizo za light Sussex, ngoja labda ni google kidogo naona bwana lkitomari anatoa kwa mapozi kweli dondoo, mwagika mwana tufaidi.
aisee hawa kuku ni wazuri sana wanavumilia sana magonjwa na wananyama nyingi
hilo ni kweli boss wangu
Kitomari, mimi niko arisha na nina interest na vifaranga unaweza kutupa contacts na physical location nikipita muda nikutafute?
name ningependa kujua habari hizo za light Sussex, ngoja labda ni google kidogo naona bwana lkitomari anatoa kwa mapozi kweli dondoo, mwagika mwana tufaidi.
nakushauri chukua wa sku 1 ili kuzoea mazingira hata kuwasafirisha hawana tatzo
hao wasiku moja si wachanga sana,hawafi kwenye usafirishaji?sorry nataka kujua maana kwenye issue hii niko mweupe sana.
Vipi mkuu ..kuhusu hao kuku unaweza kuwafuga sehemu yoyote ile..tanzania? na wanastahamili hali ya hewa ya popote pale mimi nipo znz nataka kufuga hao kuku ..ushari mkuu.
nakushauri chukua wa sku 1 ili kuzoea mazingira hata kuwasafirisha hawana tatzo