Msaada:wapi naweza pata mp3 player na charger original za simu kwa ajili ya kutumia kwenyegari?

Msaada:wapi naweza pata mp3 player na charger original za simu kwa ajili ya kutumia kwenyegari?

KALITHERMAL

Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
81
Reaction score
8
Wadau salamu,

natafuta chaja na mp3 player kwa ajili ya kutumia kwenye gari,nimekuwa nanunua hizi za barabarani zinakufa baada ya week tu.
Mwenye kujua duka au anaeuza tafadhali nijulishe.,
 
Back
Top Bottom