barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Nenda ukonga mkuuView attachment 628588 Tafadhari, mwenye kujua! Nipo Dar ila maduka ya saa siyajui vizuri. Saa aliyovaa huyu binti nimeipenda sana.
Kuna duka la saa pale?Nenda ukonga mkuu
LipoKuna duka la saa pale?
Dah, itanibidi nisogee huko! Nasikia hata segerea kuna maduka ya hizi saa! Kuna jamaa kanitonya.Lipo
Hamna namna.cheza tatu nmzuka ushinde ukanubue dubai
Nyoosha maelezo mkuuView attachment 628588 Tafadhari, mwenye kujua! Nipo Dar ila maduka ya saa siyajui vizuri. Saa aliyovaa huyu binti nimeipenda sana.
Umechanganyikiwa hadi saa unaita simuDah, itanibidi nisogee huko! Nasikia hata segerea kuna maduka ya hizi simu! Kuna jamaa kanitonya.
Dah!Umechanganyikiwa hadi saa unaita simu
Wadogo?Wadogo wanafaidi sana