zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Wataalamu wa UREMBO na NGOZI piteni hukuHabari za asubuhi wakuu kma title inavyosema je kuna yeyote kwenye jukwaa hili anafaham wapi naweza kupata hiyo sabuni ya sea of spa kwa hapa dar anisadie kunijuza maana ndio pekee ilinisaidia kumaliza chunusi huko nyuma
Ahsanteni
Nilifanikiwa kuipata kampala kipindi flani nmeenda ila hapa Dar siwezi sema nimezunguka sana ila sehemu nyingi nazoulizia hata hawajawahi kuisikia
Kwenye maduka makubwa ya Urembo umezungukia?? supermarkets je??
Ukikosa kote huko nunua online kwa usd 18-22.
Nilifanikiwa kuipata kampala kipindi flani nmeenda ila hapa Dar siwezi sema nimezunguka sana ila sehemu nyingi nazoulizia hata hawajawahi kuisikia
Na nikiikosa alternative ipi ni nzuri zaidi kwa sabuni yakukata chunusi
Naipata wapi hiii..... Bei yake....
Try that one.