zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Habari za asubuhi wakuu kma title inavyosema je kuna yeyote kwenye jukwaa hili anafaham wapi naweza kupata hiyo sabuni ya sea of spa kwa hapa dar anisadie kunijuza maana ndio pekee ilinisaidia kumaliza chunusi huko nyuma
Ahsanteni
Ahsanteni