MSAADA: Wapi Ninaweza Kupata Mmea aina ya San Pedro Cactus (Jina la Kitaamu; Echinopsis pachanoi)

Strictly Syrup

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
1,227
Reaction score
1,818
Habari za jioni wandugu,

Nimekuwa nikitafuta mmea aina ya San Pedro Cactus,jina la kiswahili sijafanikiwa kuufahamu, kwa yeyote anayeweza kunielekeza maeneo nayoweza kuupata kwa hapa Tanzania atakuwa amenisaidia sana.

Nimeambatanisha na picha hapo chini, Natanguliza shukrani.

8700AB80-2593-478A-86AA-857889BE53F5.jpeg
 
Siwezi kuwa specific lakini kwa kuwa ni xerophytes nadhani maeneo kame ya nchi yetu yanafahamika.

Jaribu kuwasiliana na vijana walioko UDOM hasa college ya social science upande wa huku CHIMWAGA mpaka kule humanities.

Nakumbuka niliwahi kuzurura na kuona species za aina tofauti tofauti hapo ndani.

Kila la kheri!
 
Uko vizuri 👍🏽

Nimekuwa nikitafuta mmea aina ya San Pedro Cactus,jina la kiswahili sijafanikiwa kuufahamu, kwa yeyote anayeweza kunielekeza maeneo nayoweza kuupata kwa hapa Tanzania atakuwa amenisaidia sana.Nimeambatanisha na picha hapo chini, Natanguliza shukrani.

View attachment 1747772
Ngoja waje. Lina kazi gani Mkuu ili tusaidie na wengine?
 
Kuna sehemu huku ni mengi sana,yanini mkuu?
Hii ni mimea yenye psychoactive content (psychedelic) inayoitwa mescaline hitaji langu kubwa ni kuandaa kwa ajili ya mambo ya kiroho na inasaidia kurewire ubongo, ni dawa strong sana ikitumika kwa madhumuni yenye tija.
Hii ina kazi moja na DMT, Pscilocybin Mushrooms and the likes...
 
Inauzwa kwahiyo mkuu??? Unanunua???

Tupeane dili kama kuna hela unataka tani ngapi?😂😂

Manaake maza bado kakaza vyuma
 
Huo mmea nasikia unatumika kichawi sana, wachawi hupenda kuupanda sehemu ta nyumba zao
 
Habari za jioni wandugu,
Nimekuwa nikitafuta mmea aina ya San Pedro Cactus,jina la kiswahili sijafanikiwa kuufahamu, kwa yeyote anayeweza kunielekeza maeneo nayoweza kuupata kwa hapa Tanzania atakuwa amenisaidia sana.Nimeambatanisha na picha hapo chini, Natanguliza shukrani.

View attachment 1747772
Njoo nikupe Tawi (mkonga) mmoja...
 
Back
Top Bottom