MSAADA: Wapi Ninaweza Kupata Mmea aina ya San Pedro Cactus (Jina la Kitaamu; Echinopsis pachanoi)

Soma post yangu ya juu nimefafanua kidogo. Huruhusiwi kutumia bila kuwa under guidance ya mtaalam atakayekuwekea kipimo, hata watu wote wanaotumia wanapendekeza sana.
Asante sana. Itanidi utupe ufafanuzi zaidi na jinsi ya kuutumia. Utapona wengi. Mimi sijawahi kuuoana mmea huu
 
Hii ni mimea yenye psychoactive content (psychedelic) inayoitwa mescaline hitaji langu kubwa ni kuandaa kwa ajili ya mambo ya kiroho na inasaidia kurewire ubongo, ni dawa strong sana ikitumika kwa madhumuni yenye tija.
Hii ina kazi moja na DMT, Pscilocybin Mushrooms and the likes...

Mkuu kama kazi yake ni kubwa hivi si utangaze Dau
 
Tupe darasa chief
 
Asante sana. Itanidi utupe ufafanuzi zaidi na jinsi ya kuutumia. Utapona wengi. Mimi sijawahi kuuoana mmea huu
Mkuu huu mmea una nguvu kubwa sana katika kurudisha mental health kwa watu wenye anxiety, depression na watu wenye addiction. Ni mmea pia kwa watu wenye kutaka kufunguka zaidi kuielewa nature kuna uzi ntaulink hapa tulijadili kuhusiana na hizi psychedelics.
 
Mkuu kama kazi yake ni kubwa hivi si utangaze Dau
Hii kitu hairuhusiwi kuuzwa na serikali, na serikali haijahalalisha matumizi yake kwa sababu ikitumika bila knowledge inaambatana na risks nyingi, mojawapo ijulikanayo kama bad trip.
 
Wote wenye maswali na shauku mnaweza pitia uzi huu...
 
Hii si ile inatoa matunda flani rangi ya pink tu njano... Tulikuwa tunaita furahisha mk****u, ukila jiandae chooni [emoji4][emoji4][emoji4]
Yale yanaitwa matini, ni jamii ya xerophytes lakini yenyewe haina psychedelic content.
 
Mkuu huu mmea una nguvu kubwa sana katika kurudisha mental health kwa watu wenye anxiety, depression na watu wenye addiction. Ni mmea pia kwa watu wenye kutaka kufunguka zaidi kuielewa nature kuna uzi ntaulink hapa tulijadili kuhusiana na hizi psychedelics.
Usisahau kunitag chief
 
ninausubiri huo uzi.ikikupendeza Chief nitaomba uniite tafadhali
 
Wote wenye maswali na shauku mnaweza pitia uzi huu...
🤛🤛🤛
 
Back
Top Bottom