Strictly Syrup
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,227
- 1,818
Nashukuru sana mkuu... God blessSiwezi kuwa specific lakini kwa kuwa ni xerophytes nadhani maeneo kame ya nchi yetu yanafahamika...
Siwezi kuwa specific lakini kwa kuwa ni xerophytes nadhani maeneo kame ya nchi yetu yanafahamika.
Jaribu kuwasiliana na vijana walioko UDOM hasa college ya social science upande wa huku CHIMWAGA mpaka kule humanities.
Nakumbuka niliwahi kuzurura na kuona species za aina tofauti tofauti hapo ndani.
Kila la kheri!
Pamoja chief!Nashukuru sana mkuu... God bless
Ngoja waje. Lina kazi gani Mkuu ili tusaidie na wengine?Habari za jioni wandugu,
Nimekuwa nikitafuta mmea aina ya San Pedro Cactus,jina la kiswahili sijafanikiwa kuufahamu, kwa yeyote anayeweza kunielekeza maeneo nayoweza kuupata kwa hapa Tanzania atakuwa amenisaidia sana.Nimeambatanisha na picha hapo chini, Natanguliza shukrani.
View attachment 1747772
Mkoa gani kaka???Kuna sehemu huku ni mengi sana,yanini mkuu?
Kwa hiyo uzi ufungwe?Nashukuru sana mkuu... God bless
Ngoja waje. Lina kazi gani Mkuu ili tusaidie na wengine?
Hii ni mimea yenye psychoactive content (psychedelic) inayoitwa mescaline hitaji langu kubwa ni kuandaa kwa ajili ya mambo ya kiroho na inasaidia kurewire ubongo, ni dawa strong sana ikitumika kwa madhumuni yenye tija.Kuna sehemu huku ni mengi sana,yanini mkuu?
Sawasawa nina wadau wangu nitawataarifu waweze kunitumia..Hayo yapo Dodoma.
Inauzwa kwahiyo mkuu??? Unanunua???Hii ni mimea yenye psychoactive content (psychedelic) inayoitwa mescaline hitaji langu kubwa ni kuandaa kwa ajili ya mambo ya kiroho na inasaidia kurewire ubongo, ni dawa strong sana ikitumika kwa madhumuni yenye tija.
Hii ina kazi moja na DMT, Pscilocybin Mushrooms and the likes...
Njoo nikupe Tawi (mkonga) mmoja...Habari za jioni wandugu,
Nimekuwa nikitafuta mmea aina ya San Pedro Cactus,jina la kiswahili sijafanikiwa kuufahamu, kwa yeyote anayeweza kunielekeza maeneo nayoweza kuupata kwa hapa Tanzania atakuwa amenisaidia sana.Nimeambatanisha na picha hapo chini, Natanguliza shukrani.
View attachment 1747772
Niko simiyu kwa sasaMkoa gani kaka???