MSAADA: Wapi Ninaweza Kupata Mmea aina ya San Pedro Cactus (Jina la Kitaamu; Echinopsis pachanoi)

Soma post yangu ya juu nimefafanua kidogo. Huruhusiwi kutumia bila kuwa under guidance ya mtaalam atakayekuwekea kipimo, hata watu wote wanaotumia wanapendekeza sana.
Asante sana. Itanidi utupe ufafanuzi zaidi na jinsi ya kuutumia. Utapona wengi. Mimi sijawahi kuuoana mmea huu
 
Mkuu kama kazi yake ni kubwa hivi si utangaze Dau
 
Tupe darasa chief
 
Asante sana. Itanidi utupe ufafanuzi zaidi na jinsi ya kuutumia. Utapona wengi. Mimi sijawahi kuuoana mmea huu
Mkuu huu mmea una nguvu kubwa sana katika kurudisha mental health kwa watu wenye anxiety, depression na watu wenye addiction. Ni mmea pia kwa watu wenye kutaka kufunguka zaidi kuielewa nature kuna uzi ntaulink hapa tulijadili kuhusiana na hizi psychedelics.
 
Mkuu kama kazi yake ni kubwa hivi si utangaze Dau
Hii kitu hairuhusiwi kuuzwa na serikali, na serikali haijahalalisha matumizi yake kwa sababu ikitumika bila knowledge inaambatana na risks nyingi, mojawapo ijulikanayo kama bad trip.
 
Wote wenye maswali na shauku mnaweza pitia uzi huu...
 
Hii si ile inatoa matunda flani rangi ya pink tu njano... Tulikuwa tunaita furahisha mk****u, ukila jiandae chooni [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Hii si ile inatoa matunda flani rangi ya pink tu njano... Tulikuwa tunaita furahisha mk****u, ukila jiandae chooni [emoji4][emoji4][emoji4]
Yale yanaitwa matini, ni jamii ya xerophytes lakini yenyewe haina psychedelic content.
 
Usisahau kunitag chief
 
ninausubiri huo uzi.ikikupendeza Chief nitaomba uniite tafadhali
 
🤛🤛🤛
 
Upo MAHALI Kama unaenda Mpwapwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…