Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
- Thread starter
-
- #21
Alloy rims zinaungika vizuri kabisa ila tu haishauriwi ufunge mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
Alloy rims zinaungika vizuri kabisa ila tu haishauriwi ufunge mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndipo huwa nawaeleza vijana kuwa wanakurupuka kimaisha. Fikra za kuunga rim zinaonesha Champagnee bado hajafikia maisha ya kumiliki gari. Maisha yake yangekuwa ya furaha kama angekuwa anamiliki pikipiki ambayo angemudu spea zake. Tuishi kutokana na kipato baadala ya kujikweza - ambapo ni gharama
Mkononi laki unusu unapata ila dukani hiyo 350 hadi 320 unapata kama utanunua seti nzima
Mkuu mi niko nje ya mada naomba kujua simu iliyopiga hiyo picha, samahani lakini,
Kampuni na model please.
Wamekula bei gani? Hongera sana
Kwa hiyo umeamua kurisk maisha yako kisa urembo wa rim!?Wakuu salama?
Juzi nilipata crush ikapelekea rim kuvunjika na tairi kubast, ila nikasikia kuna wataalam wanaunga rim inakaa vzr tu.
Swali langu ni kwamba Je? Ikiungwa inafit vizuri kabisa?? Hakuna shida itakayotokea mbeleni?
Hee hee heee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]Hapo ndipo huwa nawaeleza vijana kuwa wanakurupuka kimaisha. Fikra za kuunga rim zinaonesha Champagnee bado hajafikia maisha ya kumiliki gari. Maisha yake yangekuwa ya furaha kama angekuwa anamiliki pikipiki ambayo angemudu spea zake. Tuishi kutokana na kipato baadala ya kujikweza - ambapo ni gharama
Nunua rim nyingine.
Rim zinaungika vizuri jamani.. Na mtu unaweza kuuziwa gari ikiwa na rim ya dizaini hiyoKwa hiyo umeamua kurisk maisha yako kisa urembo wa rim!?
Ila unarisk maisha asee...ungetulia ukapata hela ukanunua rim zote nne maana kupata moja inafanana na hiyo ni mtihani[emoji848][emoji848]
Wamekula bei gani? Hongera sana
Unakuta rimu zipo ila hazifanani na zako kwenye urembo, hapo ndipo shughuli inaanzaMkononi laki unusu unapata ila dukani hiyo 350 hadi 320 unapata kama utanunua seti nzima
Rim zinaungika vizuri jamani.. Na mtu unaweza kuuziwa gari ikiwa na rim ya dizaini hiyo
Weka kapicha kama ulivofanya mwanzoniAhsante kaka nmefanikisha
umeungia wapi mkuu yangu moja una mapengo madogo nataka kupiga pasi
Kuna watu hapa wamekomalia kuwa unarisk maisha yako wakati wao wameuziwa tairi zilizochongwa na zilizoisha muda wa matumiziKama hzo rim kuna boya nitamwokota namuuzia[emoji23][emoji23]