Msaada: Wapi nitapata fundi wa kuunga hii Rim?

Alloy rims zinaungika vizuri kabisa ila tu haishauriwi ufunge mbele

Sent using Jamii Forums mobile app

053c4061-af16-403a-97af-e18cc38ed99e.jpg
 
watu wanapenda sana kurisk maisha yao sababu ya UREMBO wa vitu.
 
Hapo ndipo huwa nawaeleza vijana kuwa wanakurupuka kimaisha. Fikra za kuunga rim zinaonesha Champagnee bado hajafikia maisha ya kumiliki gari. Maisha yake yangekuwa ya furaha kama angekuwa anamiliki pikipiki ambayo angemudu spea zake. Tuishi kutokana na kipato baadala ya kujikweza - ambapo ni gharama

Mkuu nmeagza rim mpya from dubai so hzo kwa muda tu natoa, kuweka spea tair haipendezi gari
 
Hapo ndipo huwa nawaeleza vijana kuwa wanakurupuka kimaisha. Fikra za kuunga rim zinaonesha Champagnee bado hajafikia maisha ya kumiliki gari. Maisha yake yangekuwa ya furaha kama angekuwa anamiliki pikipiki ambayo angemudu spea zake. Tuishi kutokana na kipato baadala ya kujikweza - ambapo ni gharama
Hee hee heee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]
 
Back
Top Bottom