Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
- Thread starter
-
- #41
umeungia wapi mkuu yangu moja una mapengo madogo nataka kupiga pasi
Magomeni usalama kuna mabingwa ndio zao hizoumeungia wapi mkuu yangu moja una mapengo madogo nataka kupiga pasi
Usalama sehemu gani pale karibu na Dick Sound au PolisiMagomeni usalama kuna mabingwa ndio zao hizo
Mitaa ya akina Dick sound ulizia utaoneshwa ila kuna madalali ..hivyo utajiongezaUsalama sehemu gani pale karibu na Dick Sound au Polisi
Mitaa yangu hiyo hakuna wa kunipiga sema hii kitu ndio nlikua sijajuaga. Asante kwa directionMitaa ya akina Dick sound ulizia utaoneshwa ila kuna madalali ..hivyo utajiongeza
Umeufunga uziHata kama wanaounga wapo, ila kuna vitu kwenye haya maisha sio ya kurisk. Wakati unafikiria kusave hela kwa kufanya modification, fikiria ni shs ngapi huwa unapoteza aidha kwa pombe au vinginevyo bila kuwaza mara mbili mbili, sembuse kununua rim mpya.
Mheshimu Mungu kwa maisha yako kwa kuyajali. Maisha ni ya thamani sana.
Seriously tunatishana sana.. Hii tech ipo na rim inaungwa na kuwa imara kabisa... Tusione kama kuunga rim ni kitu cha kipuuzi na cha kuhayarisha maisha..Rim zinaungika vizuri kabisa na kutumika bila tatizoHata kama wanaounga wapo, ila kuna vitu kwenye haya maisha sio ya kurisk. Wakati unafikiria kusave hela kwa kufanya modification, fikiria ni shs ngapi huwa unapoteza aidha kwa pombe au vinginevyo bila kuwaza mara mbili mbili, sembuse kununua rim mpya.
Mheshimu Mungu kwa maisha yako kwa kuyajali. Maisha ni ya thamani sana.
Rim zenu za kwa Dicksound hizo! Rim nunueni Alloy za kuja na magari zipo kibao Tandale acheni na hizo takataka za kichina
Brother! Sijamtisha mtu. Jamaa ameomba ushauri na nimempa. Na wewe umetoa ushauri wako. Kwa hivyo usilazimishe mambo. Mwache achague ushauri anaotaka.Seriously tunatishana sana.. Hii tech ipo na rim inaungwa na kuwa imara kabisa... Tusione kama kuunga rim ni kitu cha kipuuzi na cha kuhayarisha maisha..Rim zinaungika vizuri kabisa na kutumika bila tatizo
Wengi wa wanaomiliki magari bongo angalia tairi za magari yao.. Nyingi ni feki, nyingi ni vipara na nyingi zimechongwa upya! Hii ndio risk kubwa kuliko hata hiyo ya kuunga rim
Ok sawa asanteBrother! Sijamtisha mtu. Jamaa ameomba ushauri na nimempa. Na wewe umetoa ushauri wako. Kwa hivyo usilazimishe mambo. Mwache achague ushauri anaotaka.
Kumbuka kwenda kuunga hiyo rim ukiwa na ufahamu kamili na kuuziwa rim iliyoungwa au tire iliyoisha muda wake bila kujua ni vitu viwili tofauti. Chukulia maisha simple bro. Relax.
Hiyo gari saivi endesha kama unasindikiza msafara wa bibi harusi
siku hizi ndio naelewa kwanini nilikua nanyimwa magari ya watu
kumbe maraia walikua na siri na magari yao,kweli ukikua unayaona mengiii
Haya mkuu karibu ulimwengu wa kuendesha gari kama uko foleni ya tazara,mdonyo mdonyo hadi home
Hizo za kichina zipo kibao,ngumu kupata ni originalNgumu kupata ya kufanana
Ishaungwa?!View attachment 1843441
Chuma imetulia
Ha ha ha [emoji28][emoji28][emoji28]Hiyo gari saivi endesha kama unasindikiza msafara wa bibi harusi
siku hizi ndio naelewa kwanini nilikua nanyimwa magari ya watu
kumbe maraia walikua na siri na magari yao,kweli ukikua unayaona mengiii
Haya mkuu karibu ulimwengu wa kuendesha gari kama uko foleni ya tazara,mdonyo mdonyo hadi home
Ishaungwa?!
Umenikumbusha hicho kidick kidunyu halafu kinavimba balaaa[emoji848][emoji16]Rim zenu za kwa Dicksound hizo! Rim nunueni Alloy za kuja na magari zipo kibao Tandale acheni na hizo takataka za kichina
OG sio kitu cha mchezo ujueHizo za kichina zipo kibao,ngumu kupata ni original