Msaada: Wapi nitapata fundi wa kuunga hii Rim?

Hata kama wanaounga wapo, ila kuna vitu kwenye haya maisha sio ya kurisk. Wakati unafikiria kusave hela kwa kufanya modification, fikiria ni shs ngapi huwa unapoteza aidha kwa pombe au vinginevyo bila kuwaza mara mbili mbili, sembuse kununua rim mpya.

Mheshimu Mungu kwa maisha yako kwa kuyajali. Maisha ni ya thamani sana.
Umeufunga uzi
 
Seriously tunatishana sana.. Hii tech ipo na rim inaungwa na kuwa imara kabisa... Tusione kama kuunga rim ni kitu cha kipuuzi na cha kuhayarisha maisha..Rim zinaungika vizuri kabisa na kutumika bila tatizo
Wengi wa wanaomiliki magari bongo angalia tairi za magari yao.. Nyingi ni feki, nyingi ni vipara na nyingi zimechongwa upya! Hii ndio risk kubwa kuliko hata hiyo ya kuunga rim
 
Brother! Sijamtisha mtu. Jamaa ameomba ushauri na nimempa. Na wewe umetoa ushauri wako. Kwa hivyo usilazimishe mambo. Mwache achague ushauri anaotaka.

Kumbuka kwenda kuunga hiyo rim ukiwa na ufahamu kamili na kuuziwa rim iliyoungwa au tire iliyoisha muda wake bila kujua ni vitu viwili tofauti. Chukulia maisha simple bro. Relax.
 
Ok sawa asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo gari saivi endesha kama unasindikiza msafara wa bibi harusi

siku hizi ndio naelewa kwanini nilikua nanyimwa magari ya watu

kumbe maraia walikua na siri na magari yao,kweli ukikua unayaona mengiii

Haya mkuu karibu ulimwengu wa kuendesha gari kama uko foleni ya tazara,mdonyo mdonyo hadi home
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
IMG_4912.jpg

Chuma imetulia
 
Hiyo gari saivi endesha kama unasindikiza msafara wa bibi harusi

siku hizi ndio naelewa kwanini nilikua nanyimwa magari ya watu

kumbe maraia walikua na siri na magari yao,kweli ukikua unayaona mengiii

Haya mkuu karibu ulimwengu wa kuendesha gari kama uko foleni ya tazara,mdonyo mdonyo hadi home
Ha ha ha [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom