Kuwa makini na mashimo haswa Yale yaliyokatwa na wale waziba mashimo.Ndio mkuu
Unawajua?Kuna watu hapa wamekomalia kuwa unarisk maisha yako wakati wao wameuziwa tairi zilizochongwa na zilizoisha muda wa matumizi
Achana na mchicha poriUnawajua?
Haha haaahaaa[emoji23][emoji23]Hiyo gari saivi endesha kama unasindikiza msafara wa bibi harusi
siku hizi ndio naelewa kwanini nilikua nanyimwa magari ya watu
kumbe maraia walikua na siri na magari yao,kweli ukikua unayaona mengiii
Haya mkuu karibu ulimwengu wa kuendesha gari kama uko foleni ya tazara,mdonyo mdonyo hadi home
Umenikumbusha hicho kidick kidunyu halafu kinavimba balaaa[emoji848][emoji16]
Kuwa makini na mashimo haswa Yale yaliyokatwa na wale waziba mashimo.
Rim hiyo hata uunge kwa utaalamu gani , bado haitakaa ikubali wheel balance.Wakuu salama?
Juzi nilipata crush ikapelekea rim kuvunjika na tairi kubast, ila nikasikia kuna wataalam wanaunga rim inakaa vzr tu...
Hamna fundi atakwambia haidumu😂Ikiungwa utaweza kupata test ya ufanisi wake?
Sasa hivi ana njaa...matonya akasubiriYule dogo mshamba halafu sijui kwanini watoto wa Iringa waliokulia chaka wana style za kuvimbaga! Sio wa kwanza yule kumuona ananata[emoji28] yani mafanikio kidogo anahisi kila mtu boya isipokuwa wasanii
Mmmh are you serious??[emoji848][emoji848]Naendesha gari ila siinjoi kabisa wasiwasi, jmc rim zitakua nmefika tyr nachange
Hahhaaa.... Sasa kama zinaungika vizuri kwanini ushauriwe usifunge mbele?Alloy rims zinaungika vizuri kabisa ila tu haishauriwi ufunge mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
VARMkuu, picha ya kwanza size ya tairi ilikuwa 215/45/r17, picha ya Baada ya kutengeneza rim ni 215/55/r17. Which means umeongezA nyama hivyo gari itanyanyuka upande mmoja. Umenunua tairi kubwa
Sijasema ni LAZIMA ufunge nyuma ... Ni USHAURIHahhaaa.... Sasa kama zinaungika vizuri kwanini ushauriwe usifunge mbele?
Mkuu, picha ya kwanza size ya tairi ilikuwa 215/45/r17, picha ya Baada ya kutengeneza rim ni 215/55/r17. Which means umeongezA nyama hivyo gari itanyanyuka upande mmoja. Umenunua tairi kubwa
Strength yake inafikiriwa!?Rim zinaungika vizuri jamani.. Na mtu unaweza kuuziwa gari ikiwa na rim ya dizaini hiyo