Msaada: Wapi nitapata fundi wa kuunga hii Rim?

Ndio maana mimi naikubali sana fekon yangu hainipi stress kabisa inapofika suala la matengenezoπŸ˜‚
 
Rim inaungika.

Kuna mdau kasema kuna zingine haziungiki kutokana na material ni kweli pia ndicho tulichojibiwa.

Hapo ilikua Mbeya mwaka 2017. Kutokana na material ya rims za ile gari ilishindikana kuunga ila kama 2017 watu walikua wanafanya hivyo sasa hivi 2021 nafikiri tech itakua imepanda maradufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…