Msaada: Wapi nitapata fundi wa kuunga hii Rim?

Msaada: Wapi nitapata fundi wa kuunga hii Rim?

Hapo ndipo huwa nawaeleza vijana kuwa wanakurupuka kimaisha. Fikra za kuunga rim zinaonesha Champagnee bado hajafikia maisha ya kumiliki gari. Maisha yake yangekuwa ya furaha kama angekuwa anamiliki pikipiki ambayo angemudu spea zake. Tuishi kutokana na kipato baadala ya kujikweza - ambapo ni gharama
Ndio maana mimi naikubali sana fekon yangu hainipi stress kabisa inapofika suala la matengenezo😂
 
Rim inaungika.

Kuna mdau kasema kuna zingine haziungiki kutokana na material ni kweli pia ndicho tulichojibiwa.

Hapo ilikua Mbeya mwaka 2017. Kutokana na material ya rims za ile gari ilishindikana kuunga ila kama 2017 watu walikua wanafanya hivyo sasa hivi 2021 nafikiri tech itakua imepanda maradufu.
 
Back
Top Bottom