Samsang a30 mpya kwa 300k kokote kule hupati ata amazon hamna hiyo bei huyu jamaa sijui anatengeneza mwenyewe
Hii bei si anapata mpya na chenji juuNjoo nikuuzie hii yangu ni A30 ram 4gb rom 64gb betri 4000mah network laomi zoye ni 4g safii us new imetumika mwezi 1 siiuzi ila kwa kuwa unahitaji nitakuuzia usjali ina rist, chaja, fone na kila kitu mpaka box lipo, utanipa 450k tu. Call, WhatsApp or text 0756 695846 nipo dar View attachment 1271978View attachment 1271979
Hii hela unapata Xiaomi kali tu na chenji inabaki ya vocha na soda au maji ya kupozea koo huku ukifurahia ulimwengu wa MiUI..! Sema unahitaji subira kusubiri mzigo ukiagizia online huko Aliexpress..Uwezo mdogo mkuu mi bajeti yangu ni mia tano tu
Labda kama unamaanisha a20 ila sio a30. Kariakoo mimi ni mwenyeji sana lakini pia ndugu yangu anauza simu kariakoo, hakuna a30 ya chini ya 450k labda kama ni used. Juzi tarehe 16 mwezi huu nimemnunulia mchepuko wangu a30 470k kariakoo, tena kwa duka ya ndugu yangu ila maduka zaidi ya 15 niliyotembelea haipungui 480k.Kama 330k mpaka 300k uongeaji wako
A30s ni kama 600k na kitu
Nikupe mfano huawei y9 prime dukani utaikuta kuanzia laki 7 mpaka9 posta hata m1 unajua huawei wenyewe wanauza sh ngap??! Ukinijibu hili ntaamini unahaki yakubishaLabda kama unamaanisha a20 ila sio a30. Kariakoo mimi ni mwenyeji sana lakini pia ndugu yangu anauza simu kariakoo, hakuna a30 ya chini ya 450k labda kama ni used. Juzi tarehe 16 mwezi huu nimemnunulia mchepuko wangu a30 470k kariakoo, tena kwa duka ya ndugu yangu ila maduka zaidi ya 15 niliyotembelea haipungui 480k.
[emoji4][emoji4]nyie mnaongea bei za dukani kwa mtu ambaye nae anauziwa na kampuniLabda kama unamaanisha a20 ila sio a30. Kariakoo mimi ni mwenyeji sana lakini pia ndugu yangu anauza simu kariakoo, hakuna a30 ya chini ya 450k labda kama ni used. Juzi tarehe 16 mwezi huu nimemnunulia mchepuko wangu a30 470k kariakoo, tena kwa duka ya ndugu yangu ila maduka zaidi ya 15 niliyotembelea haipungui 480k.
Mkuu, kwanza mimi sibishani.Nikupe mfano huawei y9 prime dukani utaikuta kuanzia laki 680, 7 mpaka9 posta hata m1 unajua huawei wenyewe wanauza sh ngap??! Ukinijibu hili ntaamini unahaki yakubisha
Hio 450k kama unamtu sales samsung anakuuzia hata1 kwa bei ya offc acha ubishi
Umeshindwa jiuliza kwann dalali akipeleka mteja aggrey akanunua simu hata kama kwa bei pangwa na duka kwann anapewa 5k?! Wao hawapati hasara?!
Msalimie mchepuko