Msaada wapi nitapata Samsung a30 mpya

Msaada wapi nitapata Samsung a30 mpya

Uwezo mdogo mkuu mi bajeti yangu ni mia tano tu
Hii hela unapata Xiaomi kali tu na chenji inabaki ya vocha na soda au maji ya kupozea koo huku ukifurahia ulimwengu wa MiUI..! Sema unahitaji subira kusubiri mzigo ukiagizia online huko Aliexpress..

Kama 330k mpaka 300k uongeaji wako
A30s ni kama 600k na kitu
Labda kama unamaanisha a20 ila sio a30. Kariakoo mimi ni mwenyeji sana lakini pia ndugu yangu anauza simu kariakoo, hakuna a30 ya chini ya 450k labda kama ni used. Juzi tarehe 16 mwezi huu nimemnunulia mchepuko wangu a30 470k kariakoo, tena kwa duka ya ndugu yangu ila maduka zaidi ya 15 niliyotembelea haipungui 480k.
 
Nikupe mfano huawei y9 prime dukani utaikuta kuanzia laki 7 mpaka9 posta hata m1 unajua huawei wenyewe wanauza sh ngap??! Ukinijibu hili ntaamini unahaki yakubisha

Hio 450k kama unamtu sales samsung anakuuzia hata1 kwa bei ya offc acha ubishi

Umeshindwa jiuliza kwann dalali akipeleka mteja aggrey akanunua simu hata kama kwa bei pangwa na duka kwann anapewa 5k?! Wao hawapati hasara?!

Msalimie mchepuko
 
Labda kama unamaanisha a20 ila sio a30. Kariakoo mimi ni mwenyeji sana lakini pia ndugu yangu anauza simu kariakoo, hakuna a30 ya chini ya 450k labda kama ni used. Juzi tarehe 16 mwezi huu nimemnunulia mchepuko wangu a30 470k kariakoo, tena kwa duka ya ndugu yangu ila maduka zaidi ya 15 niliyotembelea haipungui 480k.
[emoji4][emoji4]nyie mnaongea bei za dukani kwa mtu ambaye nae anauziwa na kampuni
 
Nikupe mfano huawei y9 prime dukani utaikuta kuanzia laki 680, 7 mpaka9 posta hata m1 unajua huawei wenyewe wanauza sh ngap??! Ukinijibu hili ntaamini unahaki yakubisha

Hio 450k kama unamtu sales samsung anakuuzia hata1 kwa bei ya offc acha ubishi

Umeshindwa jiuliza kwann dalali akipeleka mteja aggrey akanunua simu hata kama kwa bei pangwa na duka kwann anapewa 5k?! Wao hawapati hasara?!
Msalimie mchepuko
Mkuu, kwanza mimi sibishani.

Pili nimekukatalia bei uliyotaja ya a30 kua 300k ni uongo wa mchana kweupe, haya mambo ya simu mimi sio mgeni kabisa.

Mchepuko wangu nitampa salamu kua unamsalimia mkuu. Si unajua hizi ndio faraja zetu. Ni katoto ka chuo kikuu, nikikaita tu mahala kamefika, kananipa utamu kwa moyo mmoja.
 
Back
Top Bottom