Msaada wapi ntasoma advance diploma ya medical?

Kweli mkubwa...ngoja nikipata nitabandika hapa ila tembelea web ya wizara ya afya nadhani utapata maelezo....

anaesthesia huwa inafundishwa kwa watu walioko kazini. Ni special programu ambayo huwa wanakuwepo manesi, cos, amo. Huwa inatolewa sehemu mbali mbali, nakumbuka muhimbili walikuwa wanafundisha watu wa mikoa ya pwani. Kama ni in service ongea na dmo anajua utaratibu kwa huwa wanawaombea pale wanapokuwa na shortages. Hakuna ambayo hutolewa kwa fresh from school
 
Habari zenu wana JF, mnaweza kunijuza wapi hapa bongo au mbele naweza kusoma diploma au advance diploma ya medical officer nakupata ufadhili wa serekali? Matokeo yangu ya O-Level Biology - B, Physics - A, Chemistry - A na Mathematics - B. Pia nina diploma ya Computer Engineering kutoka Mbeya University of Science and Technology nakupata GPA 4.2. Tafadhali nawasilisha kwa msaada.

Kwa matokeo mazuri hivo ya O-level hukuenda kidato cha sita, tena kwa PCB? Kuna tatizo gani lilitokea au hukchagua hizi combination za science wakati naona wewe ni mwanascience?
 
anaesthesia huwa inafundishwa kwa watu walioko kazini. Ni special programu ambayo huwa wanakuwepo manesi, cos, amo. Huwa inatolewa sehemu mbali mbali, nakumbuka muhimbili walikuwa wanafundisha watu wa mikoa ya pwani. Kama ni in service ongea na dmo anajua utaratibu kwa huwa wanawaombea pale wanapokuwa na shortages. Hakuna ambayo hutolewa kwa fresh from school

Ni jamaa hapo juu ndio alikuwa anauliza hilo swali nadhani ataona hili jibu hata mimi nilikuwa sifahamu kuhusu utaratibu huu...
 
Thanks bro
anaesthesia huwa inafundishwa kwa watu walioko kazini. Ni special programu ambayo huwa wanakuwepo manesi, cos, amo. Huwa inatolewa sehemu mbali mbali, nakumbuka muhimbili walikuwa wanafundisha watu wa mikoa ya pwani. Kama ni in service ongea na dmo anajua utaratibu kwa huwa wanawaombea pale wanapokuwa na shortages. Hakuna ambayo hutolewa kwa fresh from school
 
Habari zenu wana JF, mnaweza
kunijuza wapi hapa bongo au mbele naweza kusoma diploma au advance
diploma ya medical officer nakupata ufadhili wa serekali? Matokeo yangu
ya O-Level Biology - B, Physics - A, Chemistry - A na Mathematics - B.
Pia nina diploma ya Computer Engineering kutoka Mbeya University of
Science and Technology nakupata GPA 4.2. Tafadhali nawasilisha kwa
msaada.

mimi sijui,lakini nikupe hongera uko juu mtu wangu.
 
Back
Top Bottom