Msaada wapi ntasoma advance diploma ya medical?

Kweli mkubwa...ngoja nikipata nitabandika hapa ila tembelea web ya wizara ya afya nadhani utapata maelezo....

anaesthesia huwa inafundishwa kwa watu walioko kazini. Ni special programu ambayo huwa wanakuwepo manesi, cos, amo. Huwa inatolewa sehemu mbali mbali, nakumbuka muhimbili walikuwa wanafundisha watu wa mikoa ya pwani. Kama ni in service ongea na dmo anajua utaratibu kwa huwa wanawaombea pale wanapokuwa na shortages. Hakuna ambayo hutolewa kwa fresh from school
 

Kwa matokeo mazuri hivo ya O-level hukuenda kidato cha sita, tena kwa PCB? Kuna tatizo gani lilitokea au hukchagua hizi combination za science wakati naona wewe ni mwanascience?
 

Ni jamaa hapo juu ndio alikuwa anauliza hilo swali nadhani ataona hili jibu hata mimi nilikuwa sifahamu kuhusu utaratibu huu...
 
Thanks bro
 

mimi sijui,lakini nikupe hongera uko juu mtu wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…