MSAADA: Wapi wanachora Tattoo

MSAADA: Wapi wanachora Tattoo

Joined
May 16, 2008
Posts
74
Reaction score
7
Wakubwa ninatafuta sehemu wanayochora na kufuta tattoo vizuri hapa Dar
Anayepafahamu naomba anielekeze.
 
Yoyo and Nyani ngabu, you never cease to amaze me. You must've been very naughty boys in your yester years
 
Kuna ukame unakuja huku bongo, na nyie mnataka kuteketeza ela yenu ya ngama kwa kujichorachora?

Au ndo yaleyele ya BITOZ NYANGEMA ANATAKA AITWE TUPAKI.?.. 😀 😀 😀
 
Kuna jamaa huchora kwenye kijambio uko tayari nikupe contact?
 
Kuna jamaa mmoja alikuwa anapatikana mitaa ya samora,nyuma ya TTCL house,mbele ya mahakama ya wilaya ya ilala.Ukikosa basi chukua sindano ya kushonea nguo jipinde,tafuta wino au utonvu wa mkorosho,twende kazi.
 
Back
Top Bottom