Habari wadau
Naomba nisaidiwe nahitaji kuanzisha mradi wa kufuga ng'ombe wa maziwa wa kisasa
nahitaji kujua wapi wanapatikana, bei yake na aina gani ingawa mimi sijui aina zake
natanguliza shukrani kwenu.
mimi nipo Dar nategemea mradi huu kuutekeleza maeneo ya Mkuranga
Nategeme msaada kutoka kwenu