Msaada: Wapi wanapatikana Ng'ombe wa maziwa?

Msaada: Wapi wanapatikana Ng'ombe wa maziwa?

mfereji maringo

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
1,041
Reaction score
257
Habari wadau

Naomba nisaidiwe nahitaji kuanzisha mradi wa kufuga ng'ombe wa maziwa wa kisasa
nahitaji kujua wapi wanapatikana, bei yake na aina gani ingawa mimi sijui aina zake
natanguliza shukrani kwenu.

mimi nipo Dar nategemea mradi huu kuutekeleza maeneo ya Mkuranga

Nategeme msaada kutoka kwenu
 
Nenda nane nane Morogoro tarehe 5, 6, au 7 mwezi wa nane utawakuta na utajifunza mengi.
 
Nanenane Ng'ombe zinatoka sua lakini hawauzi sasa labda madume
 
Back
Top Bottom