Dah lakini huenda wakampa connectionNenda Azam Tv s tunaona kila siku ma tamthilia ya Ukrain wanaya tafsir kiswahili
Mbona kazi ndogo sana hiyo.
Weka hapa hiyo document nikutafsirie.
Angalizo: kuwa makini, wajanja wanaweza kupokonya hiyo fursa
Uko sahihi kabisa ,hiyo ndiyo tasisi inayotambulikana kisheria za JMT wengine wote hawatambulikani.Nenda BAKITA wana kitengo rasmi cha kutafsiri nyaraka unalipa leo kesho unafuata nyaraka zako
Asee hao jamaa kuna siku kwenye subtitle zao za kiswahili tu Mtu kaongelea country girl chini wameandika "Binti Sitimbi". Hawana tofauti na lufufu wale majamaa sema tu Lufufu alikua jeshi la mtu mmoja wao wapo wengi.Nenda Azam Tv s tunaona kila siku ma tamthilia ya Ukrain wanaya tafsir kiswahili
Vladimil bolishevue van clemensueYak vas zvaty
Kama ni halali peleka kwenye balozi za nchi hizo na watatafsiri bure kanisa.Msaada please,
Wanaojua nisaidie wapi wanapatikana wa ku-translate document kwenye Ukrainian au Russian Language. Nataka kumsomesha mdogo wangu Ukraine.
Naomba msaada wanapo translate ili document zipelekwe ubalozini Nairobi.
Nilipata kule kule Nairobi kwenye embassy yaoKuna wengi wamesoma Urusi ku translate elezea documents ni za aina gani Ni za engineering,mambo ya medicine au Nini? Si kila mtu aweza translate hata kama anaijua hiyo lugha mimi kingereza najua ku translate lakini siwezi translate lugha za kidaktari mfano za madawa nitafsiri kiswahili
Kama unataka tu kujua kilichoandikwa ingia Google translator paste au chapa I command itafsiri kutoka kirusi au ki Ukraine ilete kiswahili au kingereza itakufanyia japo si kwa usahihi sana lakini waweza pata meseji vizuri tu
Kama official nenda Russian cultural center