Nenda Sawio Kamishen Ajenti. Wapo mbezi beach karibu na IMTU. Wana mnada kila jumapili. Unasajili gari lako, wanalipiga picha, wanatangaza kwenye website yao. J2 unaenda na gari lako linapigwa mnada, ukipata mnunuzi, wanachukua 5% ya mauzo, usipopata unaondoka na gari lako na hulipi kitu mpaka liuzike. Hawacharge hata registration fee.
Mi naenda kuwajaribu kesho, nione kama gari yangu itauzwa.