Msaada wapi wanapatikana wauzaji wa magari yaliyotumika tz?

Msaada wapi wanapatikana wauzaji wa magari yaliyotumika tz?

Lughe

Senior Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
116
Reaction score
19
Habari zenu wanajamii.
Naombeni msaada kuwapata wauzaji wa magari hapa Dar nataka kubadili biashara kuna gari nauza.
Zaidi ya kuandika forsale na kuwatumia madalali naona itanichukua muda,ila kuna kipindi nilishawahi sikia
tangazo japo sina details zao za kutosha hao watu rasmi wapo kwa ajili ya kazi ya kuuza magari na mali nyinginezo
kwa hiyo kwa yeyote mwenye taarifa zao jinsi ya kuwapata naomba msaada.

asanteni

Aina ya gari-coaster boxbody AUZ ipo barabarani kwa muda wa miaka mitatu,bei 22million.
 
IMG00125.jpgyou can it
on this picture
 
Nenda Sawio Kamishen Ajenti. Wapo mbezi beach karibu na IMTU. Wana mnada kila jumapili. Unasajili gari lako, wanalipiga picha, wanatangaza kwenye website yao. J2 unaenda na gari lako linapigwa mnada, ukipata mnunuzi, wanachukua 5% ya mauzo, usipopata unaondoka na gari lako na hulipi kitu mpaka liuzike. Hawacharge hata registration fee.
Mi naenda kuwajaribu kesho, nione kama gari yangu itauzwa.
 
pale magomeni mikumi kama unaelekea kigogo wamejaa tele . Wengine wako pale kariakoo shaurimoyo karibu na alhalamain school. Wengine wako pale kijitonyama karibu na kijiji cha makumbusho. Kila la kheri
 
mkuu coaster hiyo ndo m22? na imetembea miaka mitatu barabara za dar hizi?
 
Nenda Sawio Kamishen Ajenti. Wapo mbezi beach karibu na IMTU. Wana mnada kila jumapili. Unasajili gari lako, wanalipiga picha, wanatangaza kwenye website yao. J2 unaenda na gari lako linapigwa mnada, ukipata mnunuzi, wanachukua 5% ya mauzo, usipopata unaondoka na gari lako na hulipi kitu mpaka liuzike. Hawacharge hata registration fee.
Mi naenda kuwajaribu kesho, nione kama gari yangu itauzwa.

Akhasante sana Doltyne for your valuable information am o the way to see them. .hii ndiyo jamii ninayojivunia kupitia hii forum!
BIG UP TO YOU AND THE FORUM FOUNDERS!
 
ndiyo mkuu
2yrs mwenge posta route
and up the moment ubungo m/mmoja.
 
akhasante mkuu
npo mbioni to see them
 
Back
Top Bottom