Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Frec ni number za kuingiza kwenye dekodaFUNDI FREC NI NINI??? 😂😂😂
Madish makubwa ys zamaniNa mafidh sijui hata ni ma nini?
Mkuu hata hayo madish makubwa ni digitalkimbia hapo.hayo madish ya zamani magumu.
Mwambie aingie digital
Kwa uelewa wangu ....Na mafidh sijui hata ni ma nini?
Najua ni magumu mi huwaga. Nafungaga ila. Tatizo huwaga wanabadishisha sana frec yaa. Namba na satilati na maranyingi wanayo. Tumia haya madish huwa ni. Wazee ukiwaanga wanunue ving,muzi wamekuwa. Wagumukimbia hapo.hayo madish ya zamani magumu.
Mwambie aingie digital
Mkuu hata hayo madish makubwa ni digital
Ta
Najua ni magumu mi huwaga. Nafungaga ila. Tatizo huwaga wanabadishisha sana frec yaa. Namba na satilati na maranyingi wanayo. Tumia haya madish huwa ni. Wazee ukiwaanga wanunue ving,muzi wamekuwa. Wagumu
Shurkan mkuu ntajaribu nikishindwa naacha waje mafundi wengine.tatizo la huku mafundi hatupendani mtu akijua ataki kumweleza mwenzakeIntelsat 22 @ 72.1°E
Fr. 3928 R 8572
Mkuu ungekuwa na utaalam na mambo haya ungekubaliana na mimi kwa haraka,pia fahamu kwamba,dish kubwa ni mult purpose haswa la batiNi kweli.ila yana Mambo mengi kama analog.
Haya madogo ukiset tu frequency channel zote unapata
Frec = FrequencyWakuu Mimi fundi madish sasa apa kwa jirani ana dish lake haya ya zamani madish makubwa nlikuwa naomba msaada.kwa anayefahamu frec za itv maana naangaika signal. Sipati kuna watu wameniambia wamebadilisha frec
Kwa kuwa unaweza kukaangia dagaa mchele au😂Mkuu ungekuwa na utaalam na mambo haya ungekubaliana na mimi kwa haraka,pia fahamu kwamba,dish kubwa ni mult purpose haswa la bati
Kumbuka using'ang'anie muelekeo wa zamani,wamehama Sat.Dh
Shurkan mkuu ntajaribu nikishindwa naacha waje mafundi wengine.tatizo la huku mafundi hatupendani mtu akijua ataki kumweleza mwenzake
[emoji3] Sawa mkuu nimekuelewaKwa kuwa unaweza kukaangia dagaa mchele au[emoji23]
Mkuu ungekuwa na utaalam na mambo haya ungekubaliana na mimi kwa haraka,pia fahamu kwamba,dish kubwa ni mult purpose haswa la bati
Mkuu ungekuwa na utaalam na mambo haya ungekubaliana na mimi kwa haraka,pia fahamu kwamba,dish kubwa ni mult purpose haswa la bati