Mtingozi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2015
- 248
- 258
Hao ni vilaza na siyo mafundi,kama yangekuwa hayana kazi basi hata production yake isingekuwepo,Mafundi dish wengi FTA hawayataki.
Kutunga kwenyewe mpaka uwe na satfinder.
Lakini Yale madogo bila satfinder unaweza ukafunga