Ami B Msafir
Senior Member
- Feb 23, 2015
- 100
- 33
Jamanii eee habari zenu kwanza mimi najishangaa sana siku hizi kila kukicha najiona tofauti kabisa kwanini?
Niingiapo kibaruani kwangu mwili unaishiwa nguvu kabisa uchovu mwanzo mwisho
Sasa nimeshindwa kutambua hii hali, Inatokana na nini msaada kidogo.
Au ndo mwili kuchoka tu na ni tangu November 1 nashindwa kuelewa.