Msaada was haraka: Kila nikiingia kazini naishiwa nguvu

Msaada was haraka: Kila nikiingia kazini naishiwa nguvu

Ami B Msafir

Senior Member
Joined
Feb 23, 2015
Posts
100
Reaction score
33
Jamanii eee habari zenu kwanza mimi najishangaa sana siku hizi kila kukicha najiona tofauti kabisa kwanini?

Niingiapo kibaruani kwangu mwili unaishiwa nguvu kabisa uchovu mwanzo mwisho

Sasa nimeshindwa kutambua hii hali, Inatokana na nini msaada kidogo.

Au ndo mwili kuchoka tu na ni tangu November 1 nashindwa kuelewa.
 
ukiingia tu kibaruani unaishiwa nguvu ama ukiwa sehemu yoyote.?
 
Jamanii eee habari zenu kwanza
me najishangaa sana siku hizi kila kukucha naojiona tofauti kabisa kwanin
Niingiapo kibaruani kwangu mwili unaishiwa nguvu kabisa uchovu
Mwanzo mwisho
Sasa nimeshindwa kutambuwa hiii hali
Inatokana na nini msaaada kidgo
Au ndo mwili kuchoka tu na ni tangu November 1 nashindwa kuelewaa
punguza viroba
 
kuwa wazi kibarua kipi? tendo la ndoa au kazi za kawaida?
nimekuuliza hivyo kwasababu maalumu cz jukwaa hili kila kukicha watu wanaleta thread za kupungukiwa nguvu ya tendo la ndoa
 
Mkuu ili tupate pa kuanzia fanya yafuatayo.
1. Elezea vizuri kazi unayofanya na nature yake.

2. Elezea lifestyle yako hasa upande wa ulaji na unywaji.

3. Elezea unapata uchovu wa namna gani yaani historia nzima ya tatizo lako na

4. Tuambie walau umri wako una range wapi. Hii ni kwa sababu hayo niliyokuuliza huenda ni chanzo cha shida yako, Usianze kufikiria uchawi, unaweza kukuta una Malaria.
CC Mzizimkavu

Karibu
Regards
Kidudu
 
Back
Top Bottom